Kozi hii inashughulikia kufasili dhana mbalimbali za istilahi ambazo hutumiwa katika uandishi wa maandishi tofauti. Aidha, kozi hii inashughulikia ufundi wa maandishi kwa kutumia vizuri uakifishaji katika uandishi wa insha, barua rasmi na barua isiyo rasmi.