
Kozi hii itasaidia mwanafunzi kupata maarifa ya msingi yatakayomwezesha kutumia lugha ya Kiswahili katika shughuli za kiufundi zinazohusiana na matumizi ya kompyuta, ili aweze kuwasiliana na watu wengine wa Jumuiya ya Afrika Mashariki nap engine.
- Teacher: Enock HAVYARIMANA