Kiswahili ni chombo muhimu cha mawasiliano baina ya binadamu. Somo hili litatoa misingi maalumu katika maandishi na mazungumzo.